ABEBA UJAUZITO MIEZI 13 NA KUJIFUNGUA CHURA.

ABEBA UJAUZITO MIEZI 13 NA KUJIFUNGUA CHURA.

MKAZI wa Kitongoji cha Njisi, Kijijiji cha Kilwa, wilayani Kyela, Tummanye Makula (35) , amekaa na ujauzito miezi 13 na kushindwa kujifungua.Hata hivyo, baada ya maombezi, alijikuta akijifungua chura na baadaye mdudu wa ajabu akiwa na manyoya meusi.Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki baada ya dada huyo kumpigia simu Mchungaji wa Kanisa la Tample...

Read More

MALKIA ELIZABETH ATANGAZA AJIRA KWA MTU ATAKAEWEZA KUSIMAMIA AKAUNTI YA TWITTER

MALKIA ELIZABETH ATANGAZA AJIRA KWA MTU ATAKAEWEZA KUSIMAMIA AKAUNTI YA TWITTER

Malkia wa Uingereza Elizabeth wa pili afahamisha kwa anatafuta mkurugenzi mkuu wa akaunt yake binafsi ya Twitter. Mkurugenzi huyo wa akaunti hiyo atapewa mshahara wa Euro elfu 30. Akaunti ya binafsi ya malkia Elizabeth ina watu takriban watu milioni 2.77 . Tangazo hilo pia limefanywa kupitia akaunti za Facebook na Youtube. Kwa mujibu wa maelezo [&h...

Read More

WENGINE WAFUKIWA NA KIFUSI HUKO BUTIAMA

WENGINE WAFUKIWA NA KIFUSI HUKO BUTIAMA

Butiama. Takriban mwezi mmoja tangu wachimbaji 15 wafukiwe na kifusi Nyarugusiu wilayani Geita, balaa jingine la aina hiyo limetokea wilayani Butiama mkoani Mara. Katika tukio la Butiama, watu 11 wameokolewa shimoni wakichimba dhahabu na kwa sasa wamelazwa Hospitali ya Wilaya ya Butiama kwa matibabu. Mkasa huo umetokea katika Mgodi wa Buhemba na  M...

Read More

MSANII DIAMOND KUJA NA Q CHILLAH

MSANII DIAMOND KUJA NA Q CHILLAH

Kwa muda kulikuwepo na tetesi kuwa Diamond ana mpango wa kumsainisha msanii mkongwe Q Chillah  kwenye label ya WCB. Na sasa, ingawa hajasema kuwa amepanga kumsanisha kwenye label hiyo, Diamond amekiri kuwa kwenye mipango ya kufanya kazi na legend huyo. Diamond Platnumz amethibitisha kuwa amejipanga kumrudisha Q-Chief kwenye ramani ya muziki baada y...

Read More

MSANII TID AKIRI KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA NA KUKIRI KUACHA.

MSANII TID AKIRI KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA NA KUKIRI KUACHA.

Hitmaker wa Zeze, Khalid Mohamed maarufu kama TID, amekiri kuwa mmoja wa mastaa walioathirika na matumizi ya madawa ya kulevya. Akizungumza leo kwenye mkutano ulioandaliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, TID amesema yuko tayari kubadilika. “Nimekuwa muathirika wa madawa ya kulevya, nimekuja kama...

Read More

WAZIRI NAPE ASEMA WATU WALIUTAFSIRI VIBAYA UJUMBE WAKE.

WAZIRI NAPE ASEMA WATU WALIUTAFSIRI VIBAYA UJUMBE WAKE.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye alionyesha kutofurahishwa na baadhi ya taarifa zilisambazwa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii zinazodaiwa kutaka kumgombanisha yeye na baadhi ya viongozi wenzake wa serikali. Kupitia ukurasa wake wa Tweeter Waziri Nape aliandika…>> ‘Tujifunze kusoma biblia, Nasoma masomo ya Mwakaseg...

Read More

AMBER ROSE NA WIZ KHALIFA WARUDIANA.

AMBER ROSE NA WIZ KHALIFA WARUDIANA.

Amber Rose na Wiz warudiana mapenzi yamewashinda…….Amber Rose and ex-husband Wiz Khalifah are officially back together. The couple showed up to Clive Davs pre-Grammy brunch together holding hands and making out on the red carpet. Accordign to E! News Amber broke things off with Val a few days ago . . . and ran back […]

Read More

ADELE AMEMPA BEYONCE TUZO YAKE YA GRAMMY?

ADELE AMEMPA BEYONCE TUZO YAKE YA GRAMMY?

Nyota wa muziki wa Adele anaonekana kukataa tuzo ya Grammy aliyotunukiwa kwa kuwa na albamu bora zaidi. Badala yake, amesema Beyonce ndiye aliyestahiki zaidi kutunukiwa tuzo hiyo. Adele alipewa tuzo hiyo kwa albamu yake kwa jina 25 ambayo imevuma sana duniani, lakini ameambia waliohudhuria kwamba, “Haiwezekani kwangu kupokea tuzo hii”. ...

Read More

ZITTO AMTAKA RAIS MAGUFURI AVUNJE BUNGE.

ZITTO AMTAKA RAIS MAGUFURI AVUNJE BUNGE.

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amemshauri Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli kulivunja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania endapo analiona ni kikwazo kwake. Ushauri huo ameutoa jana ikiwa ni saa chache baada ya Rais Magufuli kukosoa uamuzi wa Bunge kumuita Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kujieleza mbele ya […]

Read More

DKT. SLAA AMTUMIA UJUMBE HUU GWAJIMA KUHUSU DAWA ZA KULEVYA

DKT. SLAA AMTUMIA UJUMBE HUU GWAJIMA KUHUSU DAWA ZA KULEVYA

Vita ya kupambana na dawa za kulevya nchini iliyopamba moto zaidi na kuzua mijadala tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alipoanza kutaja majina ya watuhumiwa imemuibua Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dkt. Wilbroad Slaa. Dkt. Slaa ameibuka baada ya kutajwa na kuhojiwa kwa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, […]

Read More